Picha za Taifa stars wakiwa mazoezini leo hii’

             

 

 

 

imewekwa na FAZAKR.BLOGSPOT.COM

 

 

 

 

 

kila la kheri Tanzania,Taifa stars vs ivory coast

Taifa6

ivorycoast team

20130323-222555.jpg

STARS2

didier_drogba_1477024c

IvoryCoastTeam455Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeteua waamuzi kutoka Algeria kuchezesha mechi kati ya Taifa Stars na Ivory Coast itakayofanyika Jumapili saa 9 alasiri kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Waamuzi hao watakaochezesha mechi hiyo ya kundi C kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil wataongozwa na Charef Mehdi Abid atakayepuliza filimbi. Atasaidiwa na Hamza Hammou na Bouabdallah Omari wakati mezani atakuwa Sofiane Bousseter.