Dk 16 Oljoro wanaonekana wamezinduka nao wameanza kutawala kiungo huku wakicheza pasi fupi fupi. Dk 13 Paul Nonga wa Oljoro anatengewa mpira vizuri na Idd Swaleh lakini shuti lake linatoka nje ya lango la Yanga. Dk 10 Yanga imetawala mchezo hasa kiungo na imefanya mashambulizi mengi langoni kwa Oljoro. Dk 5 GOOO….! Nadir Haroub ‘Cannavaro’ anaipatia Yanga bao la kwanza kwa kichwa akiunga mpira wa kona. YANGA 1-0 OLJORO 3 Simon Msuva wa Yanga anapiga shuti kali langoni kwa Oljoro kipa anaupangua na kuwa kona. Kipa anaumia baada ya kuucheza mpira huo. Mchezo unasimama ili kipa atibiwe. Dk 1 Juma Abdul wa Yanga anapiga shuti kali langoni kwa JKT Oljoro lakini kipa Lucheke Musa anaudaka mpira. Abdul alipewa pasi na Frank Domayo. Dk 00 MPIRA UMEANZA! Young Africans line-up to face JKT Oljoro today 1.Ally Mustafa ‘Barthez’ 2.Juma Abdul 3.David Luhende 4.Nadir Haroub ‘Cannavaro’ 5.Kelvin Yondani 6.Athuman Idd ‘Chuji’ 7.Saimon Msuva 8.Frank Domayo ‘Chumvi’ 9.Didier Kavumbagu 10.Hamis Kiiza 11.Haruna Niyonzima Subs: 1.Yusuph Abdul 2.Shadrack Nsajigwa 3.Oscar Joshua 4.Salum Telela 5.Nurdin Bakari 6.Nizar Khalfani 7.Said Bahanuzi JKT Oljoro: Lucheke Musa, Yusuf Machogoti, Majaliwa Sadiki, Nurdin Mohamed, Shaibu Nayopa, Salim Mbonde, Karage Mgunda, Emmanuel Memba, Paul Nonga, Idd Swaleh na Hamis Salehe.

20130413-085236.jpg

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s